Sun Mar 27 2022 19:23:06 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-03-27 19:23:07 +03:00
parent 8f9aa99c1e
commit 64581218a8
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 10 Lakini ili wapate kujua ya kuwa Mwana wa Adamu ana mamlaka ya kusamehe dhambi katika dunia, alimwambia yule aliyepooza, \v 11 ", inuka, chukua mkeka wako, na uende nyumbani kwako." \v 12 Alisimama na mara moja akachukua mkeka wake, na alikwenda nje ya nyumba mbele ya kila mtu, hivyo wote walishangaa na walimpa Mungu utukufu, na wakasema "Kamwe, hatujawahi kuona jambo kama hili."
\v 10 Lakini ili wapate kujua ya kuwa Mwana wa Adamu ana mamlaka ya kusamehe dhambi katika dunia, alimwambia yule aliyepooza, \v 11 "Inuka, chukua mkeka wako, na uende nyumbani kwako." \v 12 Alisimama na mara moja akachukua mkeka wake, na alikwenda nje ya nyumba mbele ya kila mtu, hivyo wote walishangaa na walimpa Mungu utukufu, na wakasema "Kamwe, hatujawahi kuona jambo kama hili."