Mon Apr 18 2022 13:37:33 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-04-18 13:37:34 +03:00
parent bb7382e542
commit 1e12c91e18
2 changed files with 2 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 1 Wakati huo walipokuja Yerusalemu, walipokaribia Besthfage na Bethania, katika Mlima wa Mizeituni, Yesu aliwatuma wawili miongoni mwa wanafunzi wake \v 2 na aliwaambia, "Nendeni katika kijiji kinachokabiliana nasi. Mara mtakapoingia humo, mtamkuta mwanapunda ambaye hajapandwa. Mfungueni na mmlete kwangu. \v 3 Na kama yeyote akiwaambia, 'Kwa nini mnafanya hivi'?, mnapaswa kusema, 'Bwana anamhitaji na mara atamrudisha hapa'."
\c 11 \v 1 Sasa walipokuja Yerusalemu, walipokaribia Bethfage na Bethania, katika Mlima wa Mizeituni, Yesu akawatuma wawili miongoni mwa wanafunzi wake \v 2 na aliwaambia, "Nendeni katika kijiji kinachokabiliana nasi. Mara mtakapoingia humo, mtamkuta mwanapunda ambaye hajapandwa. Mfungueni na mmlete kwangu. \v 3 Na kama yeyote akiwaambia, 'Kwa nini mnafanya hivi'?, mnapaswa kusema, 'Bwana anamhitaji na mara atamrudisha hapa'."

View File

@ -1 +1 @@
Sura
Sura 11