Mon Mar 28 2022 20:59:25 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
1ebe25ee9e
commit
1890deb4be
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 26 Akasema, "Ufalme wa Mungu umefananishwa na mtu aliyepanda mbegu katika udongo. \v 27 Alipolala usiku na kuamka asubuhi, na kukuta zimechipuka na kukua, ingawa hajui zilivyo chipuka. \v 28 Aridhi hutoa mbegu yenyewe; kwanza majani, halafu maua, halafu mbegu zilizo komaa. \v 29 Na wakati mbegu itakapokua komaa mara hupeleka watu wenye mundu kuvuna, kwa sababu nafaka iko tayari ku."
|
||||
\v 26 Akasema, "Ufalme wa Mungu umefananishwa na mtu aliyepanda mbegu katika udongo. \v 27 Alipolala usiku na kuamka asubuhi, na kukuta zimechipuka na kukua, ingawa hajui zilivyo chipuka. \v 28 Aridhi hutoa mbegu yenyewe; kwanza majani, halafu maua, halafu mbegu zilizo komaa. \v 29 Na wakati mbegu itakapo komaa mara hupeleka watu wenye mundu kuvuna, kwa sababu nafaka iko tayari kuvunwa."
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 30 Na akasema, "tuufananishe ufalme wa Mungu na kitu gani, au tutumie mfano gani kuuelezea?. \v 31 Ni kama mbegu ya haradali, ambapo ilipopandwa ni ndogo sana kuliko mbegu zote duniani. \v 32 Hata, wakati imepandwa, inakuana kuwa kubwa zaidi ya mimea yote ya bustani, na inafanya matawi makubwa, hata ndege wa mbinguni huweza kufanya viota vyao kwenye kivuli chake."
|
||||
\v 30 Akasema, "tuufananishe ufalme wa Mungu na kitu gani, au tutumie mfano gani kuuelezea?. \v 31 Ni kama mbegu ya haradali, ambapo ilipopandwa ni ndogo sana kuliko mbegu zote duniani. \v 32 Hata, wakati imepandwa, inakuana kuwa kubwa zaidi ya mimea yote ya bustani, na inafanya matawi makubwa, hata ndege wa mbinguni huweza kufanya viota vyao kwenye kivuli chake."
|
|
@ -97,6 +97,7 @@
|
|||
"04-16",
|
||||
"04-18",
|
||||
"04-21",
|
||||
"04-24"
|
||||
"04-24",
|
||||
"04-26"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue