Mon Mar 28 2022 20:45:25 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-03-28 20:45:26 +03:00
parent eb6589e0de
commit 143eb1866c
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 18 Na wengine ni wale waliopandwa katika miiba. Wanalisikia neno, \v 19 lakini masumbufu ya dunia, udanganyifu wa mali, na tamaa za mambo mengine, huwaingia na kulisonga neno, na linashindwa kuzaa matunda. \v 20 Kisha kuna wale ambao wamepandwa kwenye udongo mzuri. Wanalisikia neno na kulipokea na huzaa matunda: baadhi thelathini, na baadhi sitini, na baadhi mia moja."
\v 18 Na wengine ni wale waliopandwa katika miiba. Wanalisikia neno, \v 19 lakini masumbufu ya dunia, tamaa za mali, na tamaa za mambo mengine, huwaingia na kulisonga neno, na linashindwa kuzaa matunda. \v 20 Kisha kuna wale ambao wamepandwa kwenye udongo mzuri. Wanalisikia neno na kulipokea na huzaa matunda: baadhi thelathini, na baadhi sitini, na baadhi mia moja."