Mon Apr 18 2022 14:39:21 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-04-18 14:39:21 +03:00
parent b0eb20c7be
commit 0d946564b9
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 17 Akawafundisha na kusema, "Je haikuandikwa, 'nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa mataifa yote'? Lakini mmeifanya pango la wanyang'anyi". \v 18 Makuhani wakuu na waandishi walisikia alivyokuwa amesema, nao walitafuta njia ya kumwua. Hata hivyo walimwogopa kwa sababu umati ulishangazwa na mafundisho yake. \v 19 Na kila wakati jioni ilipofika, waliondoka mjini.
\v 17 Akawafundisha na kusema, "Je haikuandikwa, 'nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa mataifa yote'? Lakini mmeifanya pango la wanyang'anyi". \v 18 Makuhani wakuu na waandishi walisikia alivyokuwa amesema, nao walitafuta njia ya kumwangamiza. Hata hivyo walimwogopa kwa sababu umati ulishangazwa na mafundisho yake. \v 19 Na jioni ilipofika, waliondoka mjini.