sw_mrk_text_ulb/15/25.txt

1 line
314 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 25 Yapata saa tatu asubuhi walipomsulibisha. \v 26 Wakaweka juu yake ubao ulioandikwa shitaka, "Mfalme wa Wayahudi." \v 27 Walimsubisha pamoja na majambazi wawili, mmoja upande wake wa kulia na mwingine kushoto kwake. \v 28 (Zingatia: Mstari huu, "Na maandiko yakatimia yaliyonena" haumo katika nakala za kale).