sw_mrk_text_ulb/12/13.txt

1 line
419 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 13 Kisha wakawatuma baadhi ya mafarisayo na maherodia kwake ili kumtega kwa maneno. \v 14 Walipofika, wakamwambia, "Mwalimu, tunajua kwamba hujali maoni ya yeyote na huonyeshi upendeleo kati ya watu. Unafundisha njia ya Mungu katika ukweli. Je! Ni haki kulipa kodi kwa Kaisari au la? Je! Twaweza kulipa au la? \v 15 Lakini Yesu alijua unafiki wao na kuwaambia, "Kwa nini mnanijaribu? Nipeni dinari niweze kuitazama."