1 line
239 B
Plaintext
1 line
239 B
Plaintext
|
\v 7 Kwa sababu hii mwanamume atamwacha baba yake na mama yake na ataungana na mke wake, \v 8 na hao wawili watakuwa mwili mmoja; Kwa kuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. \v 9 Kwa hiyo alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe."
|