sw_mrk_text_ulb/10/35.txt

1 line
295 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 35 Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, walikuja kwake na kusema, "Mwalimu, tunakuhitaji utufanyie chochote tukuombacho." \v 36 Aliwaambia, "Mnataka niwatendee nini?" \v 37 Wakasema, "Turuhusu tukae nawe katika utukufu wako, mmoja katika mkono wako wa kuume na mwingine mkono wako wa kushoto."