sw_mic_text_reg/07/14.txt

1 line
251 B
Plaintext

\v 14 Chunga watu wako kwa fimbo yako, kundi la urithi wako. Wanaishi wenyewe kwenye msitu, katikati ya msitu. Wachunge katika Bashani na Gileadi kama siku za zamani. \v 15 Kama katika siku wakati mlipotoka nje ya nchi ya Misri, nitawaonyesha maajabu.