sw_mic_text_reg/07/11.txt

1 line
362 B
Plaintext

\v 11 Siku ya ya kujenga kuta zako zitafika; siku hiyo mipaka itasogezwa mbali sana. \v 12 Siku hiyo watu watakuja kwako, kutoka Ashuru na miji katika Misri, kutoka Misri hata mto mkubwa, kutoka bahari kwenda bahari, na kutoka mlima kwenda mlima. \v 13 Hizo nchi zitakuwa zimejitenga kwasababu ya watu ambao wanaishi huko sasa, kwasababu ya tunda la matendo yao.