sw_mal_text_reg/01/13.txt

1 line
537 B
Plaintext

\v 13 Na ninyi pia mwasema, 'jambo hili limetuchosha, nanyi mnalidharau, " asema Bwana wa majeshi. "Mmerudisha kilichokuwa kimechukuliwa na wanyama wa mwitu au vilema au walio wagonjwa; na ndicho mnaleta kuwa sadaka zenu! Je naweza kuikubali hii mikononi mwenu?" asema Bwana. \v 14 Alaniwe aliye mdanganyifu, ambaye anaye mnyama dume katika kundi lake na anakadi kunitolea, lakini bado anatoa kwangu, mimi Bwana, ambayo ni kiujanja ujanja; kwa kuwa mimi ni mfalme mkuu," asema Bwana wa Majeshi, "na jina langu litaogopwa katika mataifa."