sw_mal_text_reg/01/10.txt

1 line
577 B
Plaintext

\v 10 Kama kungekuwa na mtu ambaye angefunga lango la Hekalu, ili kwamba kusiwepo na moto madhabahuni bure! lakini sina radhi na ninyi, " asema Bwana wa majeshi, "na sitaikubali sadaka yeyote kutoka katika mikono yenu. \v 11 Kutoka mawio ya jua mpaka machweo jina langu litakuwa kuu katikati ya mataifa; katika kila sehemu uvumba utatolewa katika jina langu, na pia sadaka safi. Kwa sababu jina langu likuwa kuu sana katikatik ya mataifa," asema Bwana wa majeshi. \v 12 "lakini ninyi mnachafua mnaposema meza ya Bwana mnainajisi, na matunda yake, na chakula chake kudharaurika.