sw_mal_text_reg/01/08.txt

1 line
358 B
Plaintext

\v 8 Mkitoa sadaka ya wanyama vipofu, hiyo siyo dhambi? na kama mkitoa vilema na wagonjwa, hiyo siyo dhambi? pelekeni hili kwa liwali; atawakubali au atainua nyuso zetu?" asema Bwana wa Majeshi. \v 9 Na sasa, mnajaribu kutafuta neema ya Mungu, ili kwamba awe mwema kwetu. "Na aina gani ya sadaka kwa sehemu yenu, ataziinua nyuso zenu? asema Bwana wa Majeshi.