sw_mal_text_reg/01/06.txt

1 line
405 B
Plaintext

\v 6 Mtoto amtii baba yake, na mtumwa amtii bwana wake. ikiwa mimi, ni baba, iko wapi heshima yangu? na kama mimi ni bwana, iko wapi heshima yangu? Bwana wa majeshi asema hivi kwenu, makuhani, mnaodharau jina langu. lakini mnasema, 'tumeridharauje jina lako? \v 7 kwa kutoa mikate iliyonajisi madhabahuni kwangu. Na mnasema kuwa, 'Tumekudharau kwa namna gani?' Kwa kusema hivyomeza ya Bwana imedharauliwa.