sw_mal_text_reg/01/01.txt

1 line
339 B
Plaintext

\c 1 \v 1 Tamko la neno la Bwana kwa Israeli kwa mkono wa Malaki. \v 2 "Nilikupenda, "asema Bwana. Lakini unasema, "kwa jinsi gani ulinipenda?" Esau siyo ndugu yake Yakobo?" asema Bwana. "Na bado nampenda Yakobo, \v 3 lakini nimemchukia Esau. nimeifanya milima yake kuwa ukiwa, na nimepafanya urithi wake kuwa makao ya mbweha wa jangwani."