Thu Oct 06 2022 14:54:16 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-06 14:54:17 +03:00
parent 6bdb19f69e
commit aa90dfae81
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\c 4 \v 1 Tazama, siku inakuja, inawaka kama tanuru, ambayo wote wenye kiburi na waharifu watakuwa mabua. siku inakuja itawachoma," asema Bwana wa Majeshi, "siku hiyo itaondoa mzizi au shina. \v 2 Lakini kwenu mnaoliogopa jina langu, jua la haki litawaangazia na uponyaji katika mbawa zake. Mtarukaruka kama ndama zizini. \v 3 Na waovu wote mtawakanyaga chini, watakuwa majivu chini ya nyazo za miguu yenu siku hiyo nitatenda,"asema Bwana wa Majeshi.
\c 4 \v 1 Tazama, siku inakuja, inawaka kama tanuru, ambayo wote wenye kiburi na waharifu watakuwa mabua. siku inakuja itawachoma," asema Bwana wa Majeshi, "siku hiyo itaondoa mzizi au shina. \v 2 Lakini kwenu mnaoliogopa jina langu, jua la haki litawaangazia na uponyaji katika mbawa zake. Mtarukaruka kama ndama zizini. \v 3 Na waovu wote mtawakanyaga chini, watakuwa majivu chini ya nyazo za miguu yenu siku hiyo nitatenda," asema Bwana wa Majeshi.

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 Kumbukeni kutii sheria za mtumishi wangu Musa, mmri na sheria nilizomwamuru huko Horebu, kwa Israel wote. \v 5 Tazama, nitamtuma Eliya nabii mbele ya siku kuu na yenye kutisha ya kuja kwa Bwana. \v 6 Atarudisha moyo wa baba kwa watoto, na mioyo ya watoto kwa baba zao; ili kwamba nisije nikaiangamiza nchi kwa uharibifu wote."
\v 4 Kumbukeni kutii sheria za mtumishi wangu Musa, mmri na sheria nilizomwamuru huko Horebu, kwa Israel wote. \v 5 Tazama, nitamtuma Eliya nabii mbele yenu kabla ya siku kuu na yenye kutisha ya kuja kwa Bwana. \v 6 Atarudisha moyo wa baba kwa watoto, na mioyo ya watoto kwa baba zao; ili kwamba nisije nikaiangamiza nchi kwa uharibifu wote."

View File

@ -45,6 +45,7 @@
"01-10",
"01-13",
"02-title",
"04-title"
"04-title",
"04-01"
]
}