Thu Oct 06 2022 15:00:16 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-06 15:00:17 +03:00
parent 4a34284aed
commit 32307694b6
3 changed files with 10 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 Na sadaka ya Yuda na Yerusalem itampendeza Bwana, kama siku za kale, na miaka ya zamani. \v 5 Kisha nitapita karibu na ninyi kuwahukumu. na nitakuwa shahidi mwepesi dhidi ya wachawi, wazinzi, mahsahidi wa uongo, na kinyume cha wale wanaoonea wafanyakazi katika mizigo yake, wanaoonea wajane na yatima, na anayemfukuza mgeni kutoka kwenye haki yake, na kwa wale wasionitii mimi,"asema Bwana wa majeshi.
\v 4 Na sadaka ya Yuda na Yerusalem itampendeza Bwana, kama siku za kale, na miaka ya zamani. \v 5 Kisha nitapita karibu na ninyi kuwahukumu. na nitakuwa shahidi mwepesi dhidi ya wachawi, wazinzi, mashahidi wa uongo, na kinyume cha wale wanaoonea wafanyakazi katika mizigo yake, wanaoonea wajane na yatima, na anayemfukuza mgeni kutoka kwenye haki yake, na kwa wale wasionitii mimi,"asema Bwana wa majeshi.

View File

@ -1 +1 @@
\v 13 Maneo yenu yamekuwa magumu kinyume changu," asema Bwana. lakini mwasema, "Tumesema nini kinyume chako?' \v 14 mmesema, 'Hakuna maana kumtumikia Mungu. Kuna faida ya namna gani kutunza maagizo yake au kutembea huku mkiomboleza mbele za Bwana wa Majeshi? \v 15 Na sasa tunamwita mwenye kiburi mbarikiwa. Waharifu si kufanikiwa tu, bali kumjaribu Mungu na kumwepuka."
\v 13 Maneno yenu yamekuwa magumu kinyume changu," asema Bwana. lakini mwasema, "Tumesema nini kinyume chako?' \v 14 mmesema, 'Hakuna maana kumtumikia Mungu. Kuna faida ya namna gani kutunza maagizo yake au kutembea huku mkiomboleza mbele za Bwana wa Majeshi? \v 15 Na sasa tunamwita mwenye kiburi mbarikiwa. Waharifu si kufanikiwa tu, bali kumjaribu Mungu na kumwepuka."

View File

@ -54,6 +54,14 @@
"02-14",
"02-17",
"03-title",
"03-01",
"03-04",
"03-06",
"03-08",
"03-10",
"03-13",
"03-16",
"03-17",
"04-title",
"04-01",
"04-04"