sw_luk_text_ulb/11/24.txt

1 line
379 B
Plaintext

\v 24 Pepo mchafu amtokapo mtu, huenda na kutafuta mahali pasipo na maji ili ajipumzishe. Atakapokuwa amekosa, husema, 'nitarudi nilipotoka. \v 25 Akirudi na kukuta nyumba imefagiliwa na imekaa vizuri. \v 26 Hivyo huenda na kutafuta mapepo saba walio waovu kuliko yeye mwenyewe na kuwaleta waje wakae mahali pale. Na hali ya mtu huyo huwa mbaya kuliko ilivyokuwa mara ya kwanza."