sw_luk_text_ulb/23/18.txt

1 line
193 B
Plaintext

\v 18 Lakini wote wakapiga kelele pamoja, wakisema, "Mwondoe huyo, na tufungulie Baraba!" \v 19 Baraba alikuwa ni mtu ambaye amewekwa gerezani kwa sababu ya uasi fulani katika jiji na kwa kuua.