|
\v 31 Tena naweza kuwalinganisha na nini watu wa kizazi hiki? Wakoje hasai? \v 32 Wanafanana na watoto wanaocheza kwenye eneo la soko, wanaokaa na kuitana mmoja baada wa mwingine wakisema, 'Tumepuliza filimbi kwa ajili yenu, na hamkucheza. tumeomboleza na hamkulia.' |