sw_luk_text_ulb/23/29.txt

1 line
287 B
Plaintext

\v 29 Tazama, siku zinakuja ambazo watasema, "Wamebarikiwa walio tasa na matumbo yasiyozaa, na matiti ambayo hayakunyonyesha. \v 30 Ndipo watakapo anza kuiambia milima, 'Tuangukieni,' na vilima, 'Mtufunike.' \v 31 Maana kama wakifanya mambo haya ikiwa mti mbichi, itakuwaje ukiwa mkavu?"