\v 45 Yesu aliingia Hekaluni, akaanza kuwafukuza wale waliokuwa wakiuza, \v 46 akiwaambia, "Imeandikwa, 'Nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala,' lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang'anyi".