sw_luk_text_ulb/19/32.txt

1 line
392 B
Plaintext

\v 32 Wale waliotumwa wakaenda wakamwona mwana-punda kama Yesu alivyokuwa amewaambia. \v 33 Walipokuwa wanamfungua mwana punda wamiliki wakawaambia, 'Kwa nini mnamfungua mwana punda huyu?' \v 34 Wakasema, `Bwana anamhitaji. ' \v 35 Basi, wakampelekea Yesu, wakatandika nguo zao juu ya mwana punda na wakampandisha Yesu juu yake. \v 36 Alipokuwa akienda watu wakatandaza mavazi yao barabarani.