sw_luk_text_ulb/19/29.txt

1 line
312 B
Plaintext

\v 29 Ikawa alipokaribia Bethfage na Bethania, karibu na mlima wa Mizeituni, aliwatuma wanafunzi wake wawili, \v 30 akisema: `Nendeni katika kijiji cha jirani. Mkiingia, mtakuta mwana-punda hajapandwa bado. Mfungueni, mkamlete kwangu. \v 31 Kama mtu akiwauliza, `Mbona mnamfungua? ' Semeni, "Bwana anamhitaji. ''