sw_luk_text_ulb/19/18.txt

1 line
141 B
Plaintext

\v 18 Wa pili akaja, akasema, 'Bwana, fungu lako limefanya mafungu matano.' \v 19 Huyo Afisa akamwambia, 'Chukua mamlaka juu ya miji mitano.'