sw_luk_text_ulb/19/05.txt

1 line
291 B
Plaintext

\v 5 Wakati Yesu alipofika mahali pale, aliangalia juu akamwambia, 'Zakayo, shuka upesi, maana leo ni lazima nishinde nyumbani mwako.' \v 6 Akafanya haraka, akashuka na kumkaribisha kwa furaha. \v 7 Watu wote walipoona hayo, wakalalamika, wakisema, 'Amekwenda kumtembelea mtu mwenye dhambi.'