sw_luk_text_ulb/23/52.txt

1 line
202 B
Plaintext

\v 52 Mtu huyu, alimkaribia Pilato, akaomba apewe mwili wa Yesu. \v 53 Alimshusha, na akauzungushia sanda, na akaumweka katika kaburi lililokuwa limechongwa katika jiwe, ambalo hakuna aliyewahi kuzikwa.