sw_luk_text_ulb/23/39.txt

1 line
357 B
Plaintext

\v 39 Mmoja wa wahalifu aliyesulubishwa alimtukana akisema, "Wewe si Kristo? jiokoe mwenyewe na sisi" \v 40 Lakini yule mwingine akajibu, akimkemea na akisema, "Je wewe humuogopi Mungu, nawe uko katika hukumu hiyo hiyo? \v 41 Sisi tupo hapa kwa haki, kwa maana sisi tunapokea kile tunachostahili kwa matendo yetu. Lakini mtu huyu hakufanya chochote kibaya."