sw_luk_text_ulb/23/23.txt

1 line
270 B
Plaintext

\v 23 Lakini wakasisitiza kwa sauti ya juu, wakitaka asulubiwe. Na sauti zao zikamshawishi Pilato. \v 24 Hivyo Pilato akaamua kuwapatia matakwa yao. \v 25 Akamuachilia yule waliyemtaka ambaye alifungwa kwa kusababisha ghasia na kuua. Lakini akamtoa Yesu kwa matakwa yao.