sw_luk_text_ulb/08/47.txt

1 line
282 B
Plaintext

\v 47 Mwanamke alipoona ya kuwa hawezi kuficha alichokifanya, akaanza kutetemeka, akaanguka chini mbele za Yesu alitangaza mbele ya watu wote sababu zilizofanya amguse na vile alivyoponywa gafla. \v 48 Kisha akasema kwake, "Binti, imani yako imekufanya uwe mzima. Enenda kwa Amani."