sw_luk_text_ulb/08/19.txt

1 line
293 B
Plaintext

\v 19 baadaye mama yake Yesu na ndugu zake wakaja kwake hawakaribia kwa sababu ya umati wa watu. \v 20 Na akataarifiwa, "Mama yako na ndugu zako wako pale nje wanahitaji kukuona wewe. \v 21 Lakini, Yesu akajibu akasema "Mama yangu na ndugu zangu ni wale wanaolisikia neno la Mungu na kulitii."