sw_luk_text_ulb/22/24.txt

1 line
225 B
Plaintext

\v 24 Kisha yakatokea mabishano katikati yao kwamba ni nani anaye dhaniwa kuwa mkuu kuliko wote. \v 25 Akawaambia, "Wafalme wa watu wa mataifa wana ubwana juu yao, na wale mwenye mamlaka juu yao wanaitwa waheshimiwa watawala.