sw_luk_text_ulb/22/14.txt

1 line
239 B
Plaintext

\v 14 Muda ulipofika alikaa na wale mitume. \v 15 Kisha akawaambia, "Nina shauku kubwa ya kula sikukuu hii ya Pasaka na ninyi kabla ya kuteswa kwangu. \v 16 Kwa maana nawaambieni, sitakula tena mpaka itakapotimizwa katika ufalme wa Mungu."