sw_luk_text_ulb/22/07.txt

1 line
251 B
Plaintext

\v 7 Siku ya mikate isiyotiwa chachu ikafika, ambapo kondoo wa Pasaka lazima atolewe. \v 8 Yesu akawatuma Petro na Yohana, akasema, "Nendeni mkatuandalie chakula cha Pasaka ili tuje tukile." \v 9 Wakamuuliza, "Wapi unataka tuyafanyie hayo maandalizi?"