sw_luk_text_ulb/15/28.txt

1 line
370 B
Plaintext

\v 28 Mwana mkubwa akakasirika akakataa kuingia ndani na babaye alitoka nje kumsihi. \v 29 Ila akamjibu babayake akisema, 'Tazama mimi nimekutumikia miaka mingi, wala sijakosa amri yako, lakini hujanipa mwana mbuzi, ili niweze kusherehekea na rafiki zangu. \v 30 Lakini alipokuja huyu mwana wako aliyetapanya mali yako yote pamoja na makahaba umemchinjia ndama alienona.