sw_luk_text_ulb/12/45.txt

1 line
343 B
Plaintext

\v 45 Lakini Mtumishi yule akisema moyoni mwake, "bwana wangu anachelewa kurudi; hivyo akaanza kuwapiga wale watumishi wa kiume na wa kike, kisha akaanza kula, kunywa na kulewa, \v 46 bwana wake yule mtumwa atakuja katika siku asiyotegemea na saa asiyoijua, naye atamkata vipande vipande na kumuweka katika sehemu pamoja na wasiokuwawaaminifu'