\v 15 Wakamtoa nje ya shamba la mizabibu na kumuua. Je bwana shamba atawafanya nini? \v 16 Atakuja kuwaangamiza wakulima wa mzabibu, na atawapa shamba hilo wengine". 'Nao waliposikia hayo, wakasema, 'Mungu amekataa'