\v 13 Badala yake, unapofanya sherehe, waalike maskini, vilema, viwete na vipofu, \v 14 na wewe utabarikiwa, kwa sababu hawawezi kukulipa. Kwa maana utalipwa katika ufufuo wa wenye haki."