sw_luk_text_ulb/19/41.txt

1 line
169 B
Plaintext

\v 41 Yesu alipoukaribia mji aliulilia, \v 42 akisema, laiti ungelijua hata wewe, katika siku hii mambo ambayo yanayokuletea amani! Lakini sasa yamefichika machoni pako.