sw_luk_text_ulb/19/16.txt

1 line
221 B
Plaintext

\v 16 Wa kwanza akaja, akasema, `Bwana, fungu lako limefanya mafungu kumi zaidi. ' \v 17 Huyo Ofisa akamwambia, Vema, mtumishi mwema. Kwa sababu ulikuwa mwaminifu katika jambo dogo, utakuwa na madaraka juu ya miji kumi. '