sw_luk_text_ulb/08/26.txt

1 line
298 B
Plaintext

\v 26 Wakafika kwenye mji wa Gerasini iliyo upande wa nyuma ya Galilaya. \v 27 Yesu aliposhuka na kukanya kwenye ardhi, mtu fulani kutoka mjini, akakutana naye, na huyu mtu alikuwa na nguvu za giza. Kwa muda mrefu alikuwa havai nguo, na alikuwa haishi kwenye Nyumba, lakini aliishi kwenye makaburi.