sw_luk_text_ulb/08/07.txt

1 line
308 B
Plaintext

\v 7 Mbegu zingine ziliangukia kwenye miti ya miiba, nayo hiyo miti ya miiba ikakua pamoja na zile mbegu na zikasongwa. \v 8 Lakini mbegu zingine ziliangukia kwenye udongo unaofaa na zikazaa mazao mara mia zaidi. "Baada ya Yesu kusema mambo haya, alipaza sauti,"Yeyote aliye na masikio ya kusikia na asikie."