sw_luk_text_ulb/15/22.txt

1 line
300 B
Plaintext

\v 22 Yule baba aliwaambia watumishi wake, 'lileteni upesi vazi lililo bora, mkamvike mtieni na pete kidoleni na viatu miguuni. \v 23 Kisha mleteni ndama yule alienona mkamchinje tule na kufurai. \v 24 Kwa kuwa mwanangu alikua amekufa naye yu hai. Alikua amepotea nae ameonekana wakaanza kushangilia.