sw_luk_text_ulb/13/10.txt

1 line
243 B
Plaintext

\v 10 Sasa Yesu alikuwa akifundisha katika mojawapo ya Masinagogi wakati wa Sabato. \v 11 Tazama, alikuwepo mama mmoja ambaye kwa miaka kumi na minane alikuwa na rohomchafu wa udhaifu, na yeye alikuwa amepinda na hana uwezo kabisa wa kusimama.