1 line
371 B
Plaintext
1 line
371 B
Plaintext
\c 13 \v 1 Kwa wakati huo huo, kulikuwa na baadhi watu waliomtaarifu juu ya Wagalilaya ambao Pilato aliwaua na kuchanganya damu yao na sadaka zao. \v 2 Yesu akajibu na kuwaambia, "Je mwadhani kuwa Wagalilaya hao walikuwa na dhambi kuliko Wagalilaya wengine wote ndiyo maana wamepatwa na mabaya hayo? \v 3 Hapana, nawaambia, lakini msipotubu, nanyi mtaangamia vivyo hivyo. |