1 line
277 B
Plaintext
1 line
277 B
Plaintext
\v 54 Ilikuwa ni siku ya maandalizi, na Sabato inakaribia. \v 55 Wanawake, waliokuja nao kutoka Galilaya, walimfuata, na wakaona kaburi na jinsi mwili wake ulivyolazwa. \v 56 Walirudi na kuanza kuandaa manukato na marashi. Kisha siku ya sabato walipumzika kwa mujibu wa sheria. |