\v 36 Askari pia walimdharau, walimkaribia yeye na wakumpa siki, \v 37 wakisema, "Kama wewe ni Mfalme wa Wayahudi jiokoe mwenyewe" \v 38 Kulikuwa pia na alama juu yake iliyoandikwa "HUYU NDIYE MFALME WA WAYAHUDI."