1 line
279 B
Plaintext
1 line
279 B
Plaintext
\v 13 Pilato akawaita pomoja makuhani wakuu na watawala na umati wa watu, \v 14 Akawaambia, "Mmeniletea mtu huyu kama mtu anaye waongoza watu wafanye mabaya, na tazama, baada ya kuwa nimemhoji mbele yenu, sikuona kosa kwa mtu huyu kuhusu mambo yote ambayo ninyi mnamshitaki yeye. |