sw_luk_text_ulb/22/69.txt

1 line
337 B
Plaintext

\v 69 Lakini kuanzia sasa na kuendelea, Mwana wa Adamu atakuwa amekaa mkono wa kuume wa nguvu ya Mungu." \v 70 Wote wakasema, "Kwa hiyo wewe ni Mwana wa Mungu?" Na Yesu akawaambia, "Ninyi mmesema mimi ndiye." \v 71 Wakasema, "Kwa nini bado tunahitaji tena ushahidi? Kwa sababu sisi wenyewe tumesikia kutoka katika kinywa chake mwenyewe."